Ruka hadi maudhui
Anza na Lishe

Kisukari si kuhusu kuacha chakula. Ni kujua ule nini, kiasi gani na kwa wakati gani.

Rekodi kiwango cha sukari na chakula unachokula. Pata mwongozo rahisi wa lishe unaozingatia vyakula vinavyopatikana Tanzania na mahitaji yako.

Milo ya leo · Jumamosi

Ona mpango wote

Alfajiri

Saa 12 alfajiri · 6:00 am

  • Maji ya tangawizi na limauglasi 1

Asubuhi (kifungua kinywa)

Saa 1–2 asubuhi · 7–8 am

  • Supu ya kuku
  • Ndizindizi 1
  • Mboga za majanikikombe 1 (robo lita, 250 ml)

Asusa ya asubuhi

Saa 4–5 asubuhi · 10–11 am

  • Karanga au mbegu za maboga
  • Zabibupunje 10

Mchana (chakula cha mchana)

Saa 7–8 mchana · 1–2 pm

  • Makande ya mahindi mazima, maharage na karotikikombe ½–1
  • Maharagekikombe ½
  • Mboga za majanivikombe 1–2

Asusa ya jioni

Saa 9–11 jioni · 3–5 pm

  • Tango, au juisi ya ubuyu na choya

Usiku (chakula cha jioni)

Saa 12–1 usiku · 6–7 pm

  • Ugalikikombe ½
  • Samaki wa kuchemsha au wa kuoka
  • Bamia, nyanya, karoti na vitunguu kwa peanut butterkikombe 1
  • Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
  • Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3

Unachoweza kufanya