Ruka hadi maudhui
Anza na Lishe

Taarifa ya faragha

Anza na Lishe inahifadhi taarifa ulizotoa: jina, barua pepe, simu, tarehe ya kuzaliwa, jinsia, uzito, urefu, vipimo vya sukari, shajara ya chakula na maombi ya ushauri.

Tunatumia taarifa hizi kukuonyesha shajara yako na kumsaidia mtaalamu wa lishe wakati wa ushauri. Hatuuzi wala kushiriki taarifa zako na mtu mwingine.

Taarifa za afya zinashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Tanzania, 2022. Unaweza kupakua au kufuta taarifa zako zote wakati wowote kwenye ukurasa wa wasifu.

Ukiwa na swali kuhusu faragha, tuandikie WhatsApp 0629 411 998.