| AlfajiriSaa 12 alfajiri · 6:00 am | - Maji ya mdalasini na limauglasi 1
| | | - Maji ya binzari (manjano), pilipili manga, tangawizi na limauglasi 1
| - Maji ya vuguvugu ya karafuu, mdalasini na limauglasi 1
| - Maji ya tangawizi na limauglasi 1
| - Maji ya manjano, pilipili manga, tangawizi na limauglasi 1
|
|---|
| Asubuhi (kifungua kinywa)Saa 1–2 asubuhi · 7–8 am | - Uji wa dona bila sukarikikombe 1 (robo lita, 250 ml)
- Yai la kuchemshayai 1
| - Chai ya viungo bila sukari (mchaichai, tangawizi, iliki n.k.)
- Gimbi la kuchemshagimbi 1 ukubwa wa kiganja
- Kachumbarikikombe 1
| - Maziwakikombe 1 (robo lita, 250 ml)
- Yai la kuchemshayai 1
| - Chai ya viungo bila sukari (mchaichai, tangawizi, iliki n.k.)
- Muhogo wa kuchemshavipande 2
- Kachumbarikikombe 1
| - Uji wa dona bila sukarikikombe 1 (robo lita, 250 ml)
- Karangakiganja 1
| - Supu ya kuku
- Ndizindizi 1
- Mboga za majanikikombe 1 (robo lita, 250 ml)
| - Chai ya viungo bila sukari (mchaichai, tangawizi, iliki n.k.)
- Kiazi kitamukipande 1 ukubwa wa nusu kiganja
- Kachumbarikikombe 1 (robo lita, 250 ml)
|
|---|
| Asusa ya asubuhiSaa 4–5 asubuhi · 10–11 am | - Karangakiganja 1
- Tango
- Zabibupunje 10–15
| | - Mbegu za mabogakiganja 1
- Zabibupunje 10
- Tango
| - Koroshopunje 10
- Tango
- Zabibupunje 10
| | - Karanga au mbegu za maboga
- Zabibupunje 10
| |
|---|
| Mchana (chakula cha mchana)Saa 7–8 mchana · 1–2 pm | - Ugalikikombe ½ (kikombe 1 kwa anayefanya kazi nzito)
- Samakiukubwa wa kiganja
- Mboga za majanikikombe 1–1½
| - Wali wa mchele wa brownkikombe ½–1
- Maharagekikombe ½
- Mboga za majanikikombe 1–1½
| - Ndizindizi 2
- Samakikipande 1 ukubwa wa kiganja
- Mboga za majanikikombe 1 (robo lita, 250 ml)
| - Ugali wa donakikombe ½–1
- Samakiukubwa wa kiganja
- Mboga za majanivikombe 1–2
| - Wali wa mchele wa brownkikombe ½–1
- Maharagekikombe ½
- Mboga za majanivikombe 1–2
| - Makande ya mahindi mazima, maharage na karotikikombe ½–1
- Maharagekikombe ½
- Mboga za majanivikombe 1–2
| - Ugali wa donakikombe ½–1
- Dagaakikombe ½–1
- Mboga za majanivikombe 1–2
|
|---|
| Asusa ya jioniSaa 9–11 jioni · 3–5 pm | | | - Maziwa yenye manjano, pilipili manga na mdalasiniglasi 1
| - Chungwa, au juisi ya beetroot, karoti na apple yenye kijiko 1 kikubwa cha olive oil
| - Juisi ya tango, minti, apple na tangawiziglasi 1
| - Tango, au juisi ya ubuyu na choya
| - Maziwa yenye manjano, pilipili manga na mdalasiniglasi 1
|
|---|
| Usiku (chakula cha jioni)Saa 12–1 usiku · 6–7 pm | - Mchemsho wa ndizindizi 2
- Samakikipande 1 ukubwa wa kiganja
- Mboga za majanikikombe 1 (robo lita, 250 ml)
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
| - Futari ya muhogo na gimbivijiko 1–2 vya kupakulia
- Nyanya chungukikombe 1
- Nyamatonge 3 ukubwa wa kiberiti
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
| - Ugalikikombe ½–1
- Dagaakikombe ½
- Mboga za majanivikombe 1–2
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
| - Muhogo uliochemshwakipande 1 ukubwa wa nusu kiganja
- Samaki wa kuchemsha
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
| - Ndizindizi 2
- Nyamavipande 3 ukubwa wa kiberiti
- Nyanya chungukikombe 1 (robo lita, 250 ml)
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
| - Ugalikikombe ½
- Samaki wa kuchemsha au wa kuoka
- Bamia, nyanya, karoti na vitunguu kwa peanut butterkikombe 1
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
| - Wali wa mchele wa brown na njegere na karotikikombe ½
- Maharagekikombe ½
- Mboga za majanikikombe 1
- Saa 1 baada ya kula: maji ya mdalasini na karafuuglasi 1
- Dakika 45 kabla ya kulala: kitunguu saumupunje 3
|
|---|